Nyaraka za Kampuni na Biashara
Company profile, capability statement, brochure na nyaraka zinazoonyesha wewe ni nani na unachoweza kufanya.
























































































































































Kila kitu biashara yako inahitaji kuwasiliana kitaalamu, kuonyesha uwezo wake na fursa zake.
Company profile, capability statement, brochure na nyaraka zinazoonyesha wewe ni nani na unachoweza kufanya.
Business plan, proposals za biashara, miradi na uwekezaji, feasibility study na nyaraka za tenda.
Pitch deck za wawekezaji, presentation za kampuni, miradi na fursa za biashara.
Baadhi ya company profiles tulizowaandalia wateja wetu Tanzania.
“Mkuu imetulia sana, nilikuwa nahitaji kitu kama hiki for a while.”
“It looks really good. I had needed something like this for a while.”
“Ile issue uliyotushauri imetusaidia sana. Sasa tunapata serious clients. Imepunguza kelele na usumbufu.”
“The advice you gave us has helped a lot. We now get serious clients, with less noise and hassle.”
“Umenisaidia kwenye safari yangu.”
“You have helped me on my journey.”
Jumbe za wateja tulizoshiriki kwenye Instagram @companyprofile_tz.
Mpangilio, maandishi na picha kwa kiwango kinachotarajiwa kwenye nyaraka za kampuni.
Tunaandika kwa ajili ya wasomaji wako: wateja, wakaguzi wa tenda, benki na wawekezaji.
Tumeandaa profiles za ujenzi, fedha, madini, ushauri, usafirishaji na zaidi.
Tunahakiki majina, namba, picha na mpangilio kabla ya kukabidhi.
Unapitia rasimu na kutuma marekebisho kabla ya mafaili ya mwisho.
Kila nyaraka inafuata viwango vilevile, kwa Kiingereza au Kiswahili.
Kila kitu biashara inahitaji kuonekana kitaalamu, kwenye kifurushi kimoja
Tunajadili biashara yako, wasomaji, malengo na muda kupitia WhatsApp au simu.
Unatutumia nyaraka, takwimu na picha. Tunaorodhesha kilichopo na kinachokosekana.
Tunapanga na kuandika maudhui kwa ajili ya watakaosoma.
Tunafanya design kwa rangi za brand yako. Unapitia rasimu na kutuma marekebisho.
Unapokea mafaili ya mwisho, tayari kuchapisha, kutuma au kuwasilisha.

Iwe unahitaji company profile, business proposal au presentation ya kampuni, tuko tayari kukusaidia.