Huduma

Nyaraka za kitaalamu za biashara.

Makundi matatu ya nyaraka na presentations, pamoja na huduma za website na branding.

Kundi 01

Nyaraka za Kampuni na Biashara

Company profile, capability statement, brochure na nyaraka zinazoonyesha wewe ni nani na unachoweza kufanya.

  • Company profiles

  • Capability statements

  • Corporate brochures

  • Company portfolios

  • Business credentials

  • Corporate documentation

  • Organizational profiles

Kundi 02

Nyaraka za Biashara na Miradi

Business plan, proposals za biashara, miradi na uwekezaji, feasibility study na nyaraka za tenda.

  • Business plans

  • Business proposals

  • Project proposals

  • Investment proposals

  • Feasibility study documents

  • Business reports

  • Tender supporting documents

  • Project documentation

Kundi 03

Presentations na Pitch Decks

Pitch deck za wawekezaji, presentation za kampuni, miradi na fursa za biashara.

  • Investor pitch decks

  • Corporate presentations

  • Project presentations

  • Company introduction presentations

  • Executive presentations

  • Business opportunity presentations

Miradi na sekta

Miradi na Sekta Tunazosaidia Kuandaa

Tunasaidia wateja kuandaa project proposal, business plan, nyaraka za ufadhili na presentations za miradi katika sekta mbalimbali. Hizi ni aina za miradi tunazoweza kuziandalia nyaraka; kazi halisi za wateja wetu ziko kwenye ukurasa wa Kazi Zetu.

Kilimo na Biashara za Kilimo

Mipango na mapendekezo kwa biashara za kilimo, umwagiliaji, usindikaji na uhifadhi.

Mifano ya miradi
  • Kilimo cha biashara
  • Miradi ya umwagiliaji
  • Usindikaji wa mazao
  • Maghala na uhifadhi wa nafaka
  • Uongezaji thamani wa mazao
  • Biashara za pembejeo

Nyaraka zinazohitajika mara nyingi: Business Plan, Project Proposal, Investment Proposal

Ujenzi na Majengo

Nyaraka kwa wajenzi, wakandarasi na wawekezaji wa majengo.

Mifano ya miradi
  • Makazi
  • Majengo ya biashara
  • Miradi ya nyumba
  • Miradi ya miundombinu
  • Uendelezaji wa majengo
  • Mapendekezo ya uwekezaji wa majengo

Nyaraka zinazohitajika mara nyingi: Company Profile, Investment Proposal, Business Plan

Nishati na Nishati Jadidifu

Mapendekezo na mipango ya miradi ya umeme, sola na nishati safi.

Mifano ya miradi
  • Miradi ya sola
  • Nishati jadidifu
  • Nishati safi ya kupikia
  • Usambazaji wa gesi (LPG)
  • Miundombinu ya nishati
  • Suluhisho za umeme

Nyaraka zinazohitajika mara nyingi: Project Proposal, Investment Proposal, Investor Pitch Deck

NGO na Maendeleo ya Jamii

Mapendekezo ya ufadhili kwa programu za jamii na maendeleo.

Mifano ya miradi
  • Miradi ya elimu
  • Miradi ya afya
  • Maji na usafi wa mazingira
  • Uwezeshaji wa vijana
  • Uwezeshaji wa wanawake kiuchumi
  • Maendeleo ya jamii
  • Uhifadhi wa mazingira

Nyaraka zinazohitajika mara nyingi: Project Proposal, Company Profile, Corporate Presentation

Viwanda na Miradi ya Uzalishaji

Mipango na nyaraka za uwekezaji kwa uzalishaji na usindikaji.

Mifano ya miradi
  • Vituo vya uzalishaji
  • Maendeleo ya viwanda
  • Viwanda vya usindikaji
  • Uwekezaji wa viwanda
  • Biashara za usambazaji

Nyaraka zinazohitajika mara nyingi: Business Plan, Investment Proposal, Company Profile

Biashara, Usafirishaji na Usambazaji

Nyaraka kwa wafanyabiashara, wasafirishaji na wasambazaji.

Mifano ya miradi
  • Maghala
  • Usafirishaji
  • Uendelezaji wa mnyororo wa ugavi
  • Jumla na rejareja
  • Uagizaji na usafirishaji nje
  • Miundombinu ya usafirishaji

Nyaraka zinazohitajika mara nyingi: Company Profile, Capability Statement, Business Plan

TEHAMA na Biashara za Kidijitali

Mipango na pitch deck kwa biashara za teknolojia.

Mifano ya miradi
  • Startups za teknolojia
  • Utengenezaji wa programu
  • Majukwaa ya kidijitali
  • Uendeshaji wa biashara kwa mifumo
  • Miundombinu ya TEHAMA

Nyaraka zinazohitajika mara nyingi: Investor Pitch Deck, Business Plan, Company Profile

Elimu na Afya

Nyaraka kwa shule, vyuo vya mafunzo na vituo vya afya.

Mifano ya miradi
  • Taasisi za mafunzo
  • Shule na vyuo
  • Zahanati na vituo vya afya
  • Miundombinu ya afya
  • Miradi ya uwekezaji wa elimu

Nyaraka zinazohitajika mara nyingi: Business Plan, Project Proposal, Company Profile

Kifurushi cha biashara

Business Package

Kila kitu biashara inahitaji kuonekana kitaalamu, kwenye kifurushi kimoja

  • Company profile ya kitaalamu
  • Website ya kitaalamu
  • Business email ya kitaalamu
  • Mfumo wa invoice (simu na kompyuta)
Bei ya kifurushiTZS 1,500,000Agiza Kifurushi HikiUliza WhatsApp →

Huna uhakika unahitaji nyaraka ipi?

Tueleze kuhusu biashara yako na wasomaji wako. Tutakushauri na kukutumia bei.